Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Haina Rim? Hapo inaonekana kuwa juu ya mawe? Maana mi naziona tyre zikiwa kwenye gari imesimama tayari.Rumion hua ni kali, ila sio hii ya kwako uliyotuwekea hapa. Unaendeshaje gari haina rim? Hebu kaweke rim na tairi za maana kwanza ndio uilete hapa..!