Wervemarcel
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,293
Habarini Wakuu!
Naomba@Maxence Mello , @TheInvisible
@Content Moderator.
Please Msiunganishe Wala Kuufuta Huu Uzi!
Nimepata Wazo Jinsi Hali Ya Sasa Mfukoni Sio Nzuri, Hivyo Kupanga Itakuwa Ni Changamoto Kwa Vijana Wengi Wa Vyuoni,
Nimeleta Huu Uzi Kuwasaidia Vijana Makini Walio Humu Kufaidika Na Hii Fursa Adhimu Sana, Yaani Kubebana.
Ikubumbukwe Ni Kitu Cha Kawaida Sana, Kwani Hata Jiwe Alinukuliwa Mahali Kwamba Naye Alibebwa Na Kuwasihi Vijana Wafanye Hivyo Japo Wakikamatwa Hausiki, Hii Ilikuwa Katika Hafla Ya Kuzindua Hostel Mpya Za Udsm.
Karibuni Wanavyuo Wote Humu, Pia First Year Msiwe Wabinafsi Kushare Room Mkifika Second Year Mtazoea Na Mtaona Mlikuwa Wajinga, Sawa Mtatishwa Sana Na Uongozi Wa Chuo Ila Hiki Kitu Hakikwepeki, Hata Maxence Mello Analelewa.
Onyo!
Huruhusiwi Kwa Namna Yeyote Ile Kuweka Namba Ya Simu Au Link Ya WhatsApp Hapa Kufanya Hivyo Kutaleta Shida Na Kupoteza Lengo La Huu Uzi, Mmalizane PM Huko, Hapa Unasema Upo Chuo Ghani Na Kama Upo Tayari Kushare Ili Mtu Akufuate PM ( Private Message).
Karibuni Sana Na Ahsanteni.