Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,358
- 1,807
2,3&4 Mkuu.I See!
Alikuwa Anawafundisha Mwaka Wa Ngapi?
2,3&4 Mkuu.I See!
Alikuwa Anawafundisha Mwaka Wa Ngapi?
Anha, Nitamkuta Kama Bhado Yupo Kitivo.2,3&4 Mkuu.
Subiri Majibu Ya MkopoNaomba update nilikuwa mbali na dunia takribani mwezi...nilipata matatizo...kuna habri zozote zile ukiachalia baada kuchaguliwa udsm
Aahhhh....hiki kingereza hikiYou're Utterly Correct If You Stand Rigid To What You Have Just Proclaimed Here, That Show How Prescient You're.
Keep The Spirit And Chase Your Prerequisites Relentlessly.
Mzee upo kibatabata.... Unanikumbka lakn?Karibu Mkuu!
Udsm Bata Kama Zote, Kidogo Mcity Hiyo, Bullspark, 5N Club, Katalunya, La Chaaz Etc.
Inabidi Ubalance Sio Msongo Mwanzo Mwisho, Na Ukiwa Mario Ndio Disco Inakuita Mkuu.
Mwanasheria wetu wa darasa miaka ileeee......Naona unadondosha ''cha kiwakili'' mzee, uko UdSoL nini ?
Kila lakher mtotomgumuHapana Mkuu, Nipo Course Nyingine Tu Za Magumashi Ila Law Naikubali Mpaka Kesho Nikimaliza Hii Ya Sasa Nitarudi Kusoma Tena Law.
Upo Mwaka Wangapi?Udsm....nani tubebane
Kivipi Mkuu?Aahhhh....hiki kingereza hiki
Ha ha ha ha!Mwanasheria wetu wa darasa miaka ileeee......
Nimekujua Mtoto Mgumu!Kila lakher mtotomgumu
Vipi Mkuu?Aisee ! Jf
Bas fanya kunitext nipate namba yako... Nilpoteza cm, af ckuoni kwa grup la class vp????Nimekujua Mtoto Mgumu!
Mna raha sana mkuu mmezaliwa kipindi cha technology...Vipi Mkuu?
Aiseeh!Mna raha sana mkuu mmezaliwa kipindi cha technology...
Eti mnaanzisha hadi thread za kubebana chuo...
Sio tumesoma enzi za mwalimu tulipata tabu sana...
Life wasn't that simple
Nakutext WhatsAppBas fanya kunitext nipate namba yako... Nilpoteza cm, af ckuoni kwa grup la class vp????