Uzi Maalumu Kwa Wanaomba Kubebana Chuo ( A Special Thread For Requesting Double Sharing Amongst University Students)

Udom chuo cha kata tunaongelea " State University".

Kule ni kama Sudan, vumbi , ukame, njaa, ushamba, hakuvutiii kuishi binadamu mwerevu.

Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app
state unv. chuo kimechakaaa , darasani wanaandikia chaki, chuo viti vya kukaa shida, majengo mabovu nyufa kila mahali bado darasani watu wanasimama kama shule za pr za sitimbi. hivi UDSM mnachakujisifia zaidi ya kuzalisha mafisadi na wapuuzi tuu ambao hawana msimamo kama kina kabudi, polepole na tulia ackson bila kimsahau ndugai???
 
Tuna hostel mpya tayari tatizo la kubebana hamna, ukarabati unaendelea Main Campus.

Tuna library nzuri kuliko zote East Africa.

Tuna mazingira mazuri ya asili kuliko chuo chochote ukanda wa mashariki ya Africa.

Tunaongoza kutoa watu muhimu kwa Taifa kuliko chuo chochote Tanzania, Tundu Lissu, Maalim Seif, Zitto Kabwe, John Mnyika, Judge Warioba, Judge Samatta and so on.

Tunaongoza kitaaluma tangu kuanzishwa chuo hiki yaani haijawahi kutokea tukawa namba mbili, Africa tulishika mpaka nafasi ya Tatu.

Ndio chuo pekee unaweza kutaja mbele za watu wakakuelewa msomi.

Najua ndoto zako hazikutimia kuja Kusoma Harvard ya Tanzania.

Pole sana kwa ufaulu hafifu, hawajambo nduguzo wa kigogo? Karibu ushangae walau jijini huko ni shamba.
 
kwa taarifa yako nimesoma UDSM na UDOM pia . degree ya kwanza na masters pia so hunidanganyi kuhusu hivi chuo

hostel mpya hazijatatua hata asilimia 20 ya tatizo udsm

kuhusu lyblary ni kwamba hilo ni jengo la lyblary bado haijawa lyblary hakuna vitab na miundombinu ya kutosha.

kuhusu watu muhimu udsm imetoa watu wengi zaidi wanaoliangamiza taifa kuliko wanaolijenga
 
Msomi wa masters hujui kuandika Library?

You don't have any prerequisites of being product from Udsm.
This is too low for me to even argue with you.

SMHD.
 
kwa taarifa yako nimesoma UDSM na UDOM pia . degree ya kwanza na masters pia so hunidanganyi kuhusu hivi chuo

hostel mpya hazijatatua hata asilimia 20 ya tatizo udsm

kuhusu lyblary ni kwamba hilo ni jengo la lyblary bado haijawa lyblary hakuna vitab na miundombinu ya kutosha.

kuhusu watu muhimu udsm imetoa watu wengi zaidi wanaoliangamiza taifa kuliko wanaolijenga
Udsm haifundishi watu kuwa mafisadi. Watu wanafundishwa taaluma tu pale. Suala la uzalendo linaanzia shule za msingi na maadili ya jamii anayokulia mtu. Vivyo hivyo wizi na udokozi unakuwa influenced na jamii anayotokea mtu...
Unakionea UDSM kudai kinatoa mafisadi...
 
Umemjibu vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom