Uzi Maalumu kwa tulkopata Daraja la Kwanza kidato cha Nne , Elimu ikiwa bado Elimu 1970 up to 2003

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Unakumbuka nini baada ya Kupata daraja la kwanza

Nakumbuka mwaka **** nikiwa kijijini nimemaliza Shule, matokeao bado yanaandikwa kwenye magazeti

Jina langu linaanza na Herufi za Mwishoni , kwenye alphabet,

Shule yetu tulikuwa wanafunzi 45, lakin daraja la kwanza alikuwa mmoja , wanaojua IQ yangu walizoea kuniita Mr Nelkon, wengine Encyclopedia Britannica,

Wakajua ndo nimekung'uta kijiti,
Bahati mbaya Gazeti lilichapishwa halikumalizia majina yenye herufi za kuanzia mwishoni, mfano T, Z , liliishia P,

Hiyo jina langu halikutokea 😁😁😁😁😁 lakin nikiangalia Summary inaonesha kuna mwenye kijiti, lakin kwenye Majina hay u po,
Nikajua ni Mimi Mnyamwezi

Nitaendelea baadae.......

Hivyo we unakumbuka mini

Tafadhali wenye daraja la Pili na Kuendelea hapawahusu hapa

Inatuhusu miamba ya ushindi Wa Kijiti,

Kiranga Kalamu1 Sky Eclat
 
LOoo, mkuu wangu 'Britannica' mbona leo umekuja kivingine kabisa hapa! Hii nayo ni siasa?

Hata hivyo ngoja nichangie tu hivyo hivyo.
Mimi niliondoka na 'Division IV.' Hata hivyo nilimshukuru Mungu kwa neema hiyo. Unajua wengine huko vijijini kupata elimu kama hiyo ni kama zawadi toka juu.
 
Unakumbuka nini baada ya Kupata daraja la kwanza

Nakumbuka mwaka **** nikiwa kijijini nimemaliza Shule, matokeao bado yanaandikwa kwenye magazeti

Jina langu linaanza na Herufi za Mwishoni , kwenye alphabet,

Shule yetu tulikuwa wanafunzi 45, lakin daraja la kwanza alikuwa mmoja , wanaojua IQ yangu walizoea kuniita Mr Nelkon, wengine Encyclopedia Britannica,

Wakajua ndo nimekung'uta kijiti,
Bahati mbaya Gazeti lilichapishwa halikumalizia majina yenye herufi za kuanzia mwishoni, mfano T, Z , liliishia P,

Hiyo jina langu halikutokea lakin nikiangalia Summary inaonesha kuna mwenye kijiti, lakin kwenye Majina hay u po,
Nikajua ni Mimi Mnyamwezi

Nitaendelea baadae.......

Hivyo we unakumbuka mini

Tafadhali wenye daraja la Pili na Kuendelea hapawahusu hapa

Inatuhusu miamba ya ushindi Wa Kijiti,

Kiranga Kalamu1 Sky Eclat
Hio division one imekusaidia nini maishani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa na 1 ya 16 o level ndo ilikuwa one pekee darasani kwetu tukiwa wanafunzi 21.
Advanced nilisoma tosamaganga PCB nilipata 1.8. Nilijisikia raha sana kwa kweli, natamani maisha yarudi tena lakini ndo haiwezekani. Nilikua naona ulimwengu wote wangu. Lakini maisha now magumu sana mishahara midogo lakini basi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakumbuka nini baada ya Kupata daraja la kwanza

Nakumbuka mwaka **** nikiwa kijijini nimemaliza Shule, matokeao bado yanaandikwa kwenye magazeti

Jina langu linaanza na Herufi za Mwishoni , kwenye alphabet,

Shule yetu tulikuwa wanafunzi 45, lakin daraja la kwanza alikuwa mmoja , wanaojua IQ yangu walizoea kuniita Mr Nelkon, wengine Encyclopedia Britannica,

Wakajua ndo nimekung'uta kijiti,
Bahati mbaya Gazeti lilichapishwa halikumalizia majina yenye herufi za kuanzia mwishoni, mfano T, Z , liliishia P,

Hiyo jina langu halikutokea 😁😁😁😁😁 lakin nikiangalia Summary inaonesha kuna mwenye kijiti, lakin kwenye Majina hay u po,
Nikajua ni Mimi Mnyamwezi

Nitaendelea baadae.......

Hivyo we unakumbuka mini

Tafadhali wenye daraja la Pili na Kuendelea hapawahusu hapa

Inatuhusu miamba ya ushindi Wa Kijiti,

Kiranga Kalamu1 Sky Eclat
Mi ninekumbuka nilivyokuwa naogopa kupigwa penati kissa kiswahili... yaani nahisi kiswahili nilipata D ya 21... maana hali ilikiwa tete hasa kwenye ule wimbo wa mwanameka
 
Back
Top Bottom