Uzi maalumu Kwa picha za mheshimiwa Rais John Magufuli katika shughuli mbali mbali

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,689
2,000
Huu Uzi utakuwa maalumu Kwa picha za mkuu wetu wa nchi katika shughuli mbali mbali,

Ukiwa na picha umeona inafaa kuwa hapa iweke na uipe maelezo


Hata makamanda karibu

images (22).jpeg
images (21).jpeg
View attachment 704523 View attachment 704524 View attachment 704525
president-africains-ayant-marque-2016-jewanda.jpg
View attachment 704527
download.jpeg
Magufuli-1.jpg
images (20).jpeg
FB_IMG_1520141666464.jpg
FB_IMG_1520141643468.jpg
FB_IMG_1520141594719.jpg
FB_IMG_1520141554048.jpg
FB_IMG_1520141541707.jpg
View attachment 704536
FB_IMG_1520141499682.jpg
FB_IMG_1520141491845.jpg
FB_IMG_1520141488025.jpg

FB_IMG_1520141210068.jpg


FB_IMG_1520141336846.jpg


FB_IMG_1520141483320.jpg


magufuli naviatu magereza.jpg
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,410
2,000
Asante kwa uzi huu, kiukweli anapendeza, anapendwa na anakubalika sana!, tuendelee kumpenda, kumpamba, kumpendezesha, kumuombea, na kumuimbia nyimbo za sifa na mapambio, maana huyu ndiye yule aliyetajwa, atakawafikisha Watanzania kwenye nchi ya ahadi!, soon mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali!.

P.
 

Bayyo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,722
2,000
mbona picha zako hazina maelezo wakati wewe mwenyewe umesema picha iwe na maelezi
 

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,689
2,000
Asante kwa uzi huu, kiukweli anapendeza, anapendwa na anakubalika sana!, tuendelee kumpamba, kumpendezesha, kumuombea, na kumuimbia nyimbo za sifa na mapambio, maana huyu ndiye yule aliyetajwa, atakawafikisha Watanzania kwenye nchi ya ahadi!.

P.
Lakin ili afikishe nchi huko mahali inabidi atawale kama muda aliotawala nyerere Pascal Mayalla
 

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,280
2,000
Movie gani inauzwa duka gani
Nami nilisikia, sasa hujaweka maelezo kwenye picha hizo tukajua, maana sio zote yuko kwenye "shughuli" mbalimbali kama ulivyosema bali nyingine ni katika pozi mf hiyo ya O level kuna shughuli gani hapo? Title ingekuwa :picha za Mh sana, mtukufu sana, dk ....akiwa katika pozi mbalimbali!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom