Uzi maalumu kwa picha za Chalii za chuga.

83832bb234097c90433126b48a754c24.jpg
 
Kuna Yule chalii ya R ambae anafanya mafekechenism ya hela yote hapa dar free market, mr. Benefical ana style yake ya inaitwa aliye juu mngoje chini, na hapo chini kuna kutangulia sio kufika dingillai. Naelewa macode ya chugga, ngalimi, kijenge,sakinado,majengo etc. Big up chugganians keep it lit, keep it tight, keep it OG.
 
Machalii wa arusha hatupo hivi hizi style za kuvaa hivi ilikuwa ya zamani kidogo mtaa flan arusha unaitwa ungalimited ila sikuizi mambo yamebadilika ukivaa hivyo utapitwa na madili kibao, ambao bado wanadumisha hii mila wamebaki wachache wanywa Banana na wavuta bange na mara nyingi dili zao kubwa ni wizi wa vitu vidogo vidogo..
 
Back
Top Bottom