Tupashane habari, ratiba za mechi na matokeo daraja la kwanza 2017/2018

wamisako

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
917
869
Ndugu wapenda michezo imekua shida kubwa kupata updates za matokea na kila kinachoendelea ligi daraja la kwanza.

Najua wengi wanapenda kujua vitimbwi vya ligi hii ambayo huwa imejawa vituko na udambwi mwingi

Huu utakua uzi maalum kila mmoja alipo kutupasha habari na matokeo ya ligi daraja la kwanza.
 
Back
Top Bottom