Uzi Maalumu kwa ajili ya kuuza vyombo vipya sio used vya ndani kwa bei nafuu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari wana Jf, nimefungua huu uzi wangu ni maalumu kwa ajili ya kufanyia mauzo ya vyombo vya ndani Vipya,ni vyombo tofauti tofauti kuanzia hotpot,Oven,blenders,sahani,mabakuli,glass na vyombo vingine.

Duka lipo Mbezi beach kituo cha shule karibu na bar ya Paradise.

Pia tunaweza kumpelekea mteja hadi nyumbani kwake tukishakubalian/Derivery ipo kwa Dar es salaam na pia mikoani tunatuma kwa mabasi.

Ukiwa na swali lolote usisite kuniuliza kwa koment au hata kwa kupiga simu au kama una chombo chochote unakihitaji unaweza nitumia picha kama ninacho naweza kukutajia bei yake
Mawasiliano: 0689 150 968
0625 576 082_watsapp

Kwa picha zaidi usisite kuingia kwenye watsapp group letu la vyom kupitia link hiyo hapo DUKANI KWAKO
only
IMG-20200829-WA0008.jpeg
IMG-20200828-WA0009.jpeg
IMG-20200827-WA0013.jpeg
IMG-20200827-WA0010.jpeg
IMG-20200827-WA0001.jpeg
IMG-20200825-WA0003.jpeg
IMG-20200825-WA0006.jpeg
IMG-20200824-WA0000.jpeg
 
Oveni hili la majiko mawili oven ni jipya bei yake ni 210,000
Habari wana Jf, nimefungua huu uzi wangu ni maalumu kwa ajili ya kufanyia mauzo ya vyombo vya ndani Vipya,ni vyombo tofauti tofauti kuanzia hotpot,Oven,blenders,sahani,mabakuli,glass na vyombo vingine...
 
Hizi bakuli ni Imara sana zinaingia Kg 2 na bei yake ni Tshs 37000 Derivery hadi mlangoni
IMG-20200825-WA0003.jpeg
IMG-20200825-WA0006.jpeg
 
Sahani bakuli tamu sana hiyo kwa bei ya Tshs 13000 ina bake na kusave pia
IMG-20200825-WA0009.jpeg
 
Bakuli tamu jamani kwa kuwekea mboga mboga bei ni Tshs 11000 Derivery hadi mlangoni kwako
IMG-20200825-WA0002.jpeg
 
Oven la majiko mawili jipya bei yake ni Tshs 210,000 dervery hadi mlangoni
IMG-20200824-WA0000.jpeg
 
Stand Mixer mpya na bakuli lake inaingia Kilo 3 bei bei yake ni 320,000 nakuletea hadi mlangoni
IMG-20200825-WA0001.jpeg
 
Bakuli za mboga nauza moja Tshs 10,000 hadi nyumbani kwako.
IMG-20200824-WA0027.jpeg
 
Hotpot Set nzima ni Tshs 50,000 Derivery hadi sebureni kwako
IMG-20200822-WA0026.jpeg
 
Induction Cooker hiyo one Plate inakwenda kwa bei ya kutupwa kabisa ya Tshs 85,000 Derivery hadi jikoni kwako
20200830_144643.jpeg
 
Bakuli za kishua bei Tshs 10,000 moja ukiweka mezani kunakuwa na mvuto kwa bei hiyo unaletewa hadi sebureni kwako
IMG-20200806-WA0003.jpeg
 
Bakuli za udongo zenye muonekano mzuri bei Tshs 8000 moja unaletewa hadi mezani kwako
IMG-20200802-WA0016.jpeg
 
Birika la ukweli Bei Ths 30,000 inaletewa hadi kwako au waweza kulifwata
IMG-20200812-WA0008.jpeg
 
Bei yake ni Tshs 30000 set nzima zinakaa 6 kwa bei hiyo unaletewa hadi Home
IMG-20200812-WA0002.jpeg
IMG-20200812-WA0000.jpeg
 
Hotpot Tshs 80,000 set nzima hot pot ni bora sana hazipozi chakula kwa bei hiyo tunakuletea hadi mtaani kwako
IMG-20200811-WA0019.jpeg
 
Kenwood Chopper inauwezo wa kusaga nyanya,vitunguu,karot,hoho,tangawizi na viungo vingine pamoja na nyama bei yake ni ya kutupa kabisa Tshs 60000 unaletewa hadi kwako
IMG-20200809-WA0007.jpeg
 
Kikaangio cha vitumbua kinauzwa Tshs 45000 unaletewa hadi nyumbani
IMG-20200609-WA0018.jpeg
 
Back
Top Bottom