Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

Test Duka App kwa play store. Nametumia React native technology wanayoitumia Facebook na apps zake kama Instagram na nyingine kibao. Kwa yeyote anayehitaji app Android pamoja na iOS tuwasiliane.

Duka App ni app ya kununua bidhaa mbalimbali kutoka china na ndani ya Tanzania.

Jaribu kuipitia pitia utoe na some suggestions ili iboreke zaidi.

Link ya kupakua Duka App hii apa
Duka App - Nunua Online, Shopping Mall - Apps on Google Play
Screenshot_2020-03-30-23-28-52.jpg
Screenshot_2020-03-31-21-23-17.jpg
Screenshot_2020-03-31-21-24-09.jpg
Screenshot_2020-03-31-21-24-23.jpg
Screenshot_2020-03-31-21-24-37.jpg
Screenshot_2020-03-31-21-24-50.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
2312719-a6.jpg

Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za Android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.

Imani yangu wale wote ambao watakuwa na mwamko wa kujifunza kuunda apps za Android ni kwamba wana ufahamu wa kufanya programming kwa kutumia JAVA ama OOP language yoyote na pia wana uelewa hata kidogo kuhusu xml (Extensible Markup Language).

Mtindo ambao tutajifunza ni kwa namna ya ku-develop projects (apps) mwanzo mwisho, na tutakopofika ukingoni mwa mafunzo haya ningeomba tushirikiane kwa pamoja kuunda app ambayo itakuwa nzuri na kisha tuunde hata team ambayo tutaweza kuunda apps mbalimbali.

Zifuatazo ni projects ambazo tutazifanya kupitia uzi huu:

1. Welcome App
2. Android Media Player
3. Tip Calculator App
4. Music Event App
5. Uber Clone
6. Messaging App (Whatsapp Clone)
7. Flag Quiz App
9. Cannon Game App
10. Weather App
11. Media, Videos and Sound Apps
12. Instagram Clone

Karibuni nyote.
Jani Uzi huu Ni mzuri kujuzana maujuzi haya
 
Bonge moja la idea ila kwanini usiiweke ikawa ni cloud based...na ikawa ni pamoja na Software ili competitors wako wawe ni dropbox

YES I BELIEVE UNAWEZA KUWA DROPBOX COMPETITOR

lakini pia unaweza kuja na other office solution ya app yako hiyo

Nimetengeneza app ya ku share files kwa kasi sana inaitwa SharePal inapatikana play store naomba muijaribu SharePal: Share music & video, transfer files - Apps on Google PlayView attachment 1311881View attachment 1311882View attachment 1311883View attachment 1311885

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana vijana kama nyinyi wenye uthubutu ngoja nikushauri mawili matatu

Kwanini scan document app ikawa ni moja ya feature ya sharepal

Mfano let me give you an idea app yako iwe ni let's say tuiite Spacedrop iwe na mifumo ya

1) scan documents
2) file sharing
3) file store
4) file uploading

Ili kutengeneza value nashauri tengeneza prototype then tafuta co-founders wawili wazungu kutoka Marekani mmoja awe ni mwenye capability ya programing ya hali ya juu na pili awe ni mtaalamu wa cybersecurity

Ili aweze kutengeneza kitu kilicho bora

Kabla ya hapo wekeza kwanza kwenye Design UI na UX unaweza nunua Designs kutoka dribbble.com

Ukishanunua design ile inakuwa ni prototype yako sasa unatafuta programmer ambaye ni Experienced programmer akaitengeneza na mtaalamu wa cybersecurity akaifanyia integration na security

Tafuta pia watengenezaji wa website nzuri wakatengeneza website yako

Ingia clutch.co utaona kampuni kibao za Website design

Ofisi anza na kulipia virtual office na kampuni ya Regus ili uwe na business address

Kwa kuwa ni cloud mtapata hela kwenye kutoa space mfano mtu anaweza kutumia free space up to 100 GB then from 500 GB kwa makampuni iwe ni let's say $199 then from 1TB iwe ni $499

Sasa basi ili kutengeza value ni kwamba platform yenu iwe ni end to end encrypted file sharing hapo yule jamaa wa cybersecurity ana appear

Ukiwahakikishia kuwa files za watu zitakuwa stored kwa kutumia technology Ni rahisi kupata funds

Mkipata Active users 10,000 wa kwanza mnaanza ku rise finds up to $2M

Hapo valuation yenu inakuwa

Bongo utachelewa anza kufuatilia kusajili kampuni Marekani kupitia Delaware company

Ukishafanya hivyo denver Colorado ni very suitable kwa biashara yako ingia website ya
Denver, Boulder Startups & Tech Companies | Built In Colorado utapata mawili matatu kuhusu Denver

Kwakuwa watu wanatakiwa walipie kwa kutumia credit card ni vyema ukatumia Stripe katika kufanya malipo na Yes ili na uwe na stripe kwa kampuni ya Tanzania lazima utumie stripe atlas na lazima uwe na kampuni USA so ukitumia Delaware registration

Utapata vitu hivyo

So kwa kuanza anza kufanya yafuatayo

1) angalia mfumo wa sasa wa file sharing hasa kwa kampuni kama Drobbox, google drive ect na wewe angalia biashara ambayo itakuwa ni file solution kwanzia uploading, storage na sharing kwa kuwa mpinzani wa hizo kampuni

Usiogope kuhusu majina ya hayo makampuni Wawekezaji ndio watakuwa interested kujua una kipya kipi kuwapiku dropbox na google na hapo ndio chance yako

2) Fikiria Jina sahihi na lenye kuakisi mfano unaweza ita Vaultspace, Heaven space, etc

3) Tafuta Logo designer mzuri mcheck jamaa mmoja tweeter anaitwa Richstar @richstartz hayuko vibaya kwenye utengenezaji wa Logo

Logo iwe simple ambayo inaweza kutumika as icon kwenye app na ikajieleza

4) Andika vitu unavyotaka tafuta mtu akutengenezee UX/UI

5) Tafuta watu sasa wawili ambao ni wazungu from denver Colorado jisajili LinkedIn, tengeneza profile yako vizuri usifollow kila watu follows tu watu wanatakiwa kufanya nao kazi

6) Fanya videoconferencing na watu unaohisi mtakuwa ni owners ect waambie kuwa mtakuwa share holders

7) anza kufanya taratibu za registration USA kule ni usd 500 tu unapata registration

8)Lipa Virtual Regus Office denver Colorado Corona imesaidia sana watu wana work remotely popote duniani now so virtual office kwa kuanza inafaa

9) Anza kuitengeneza the platform

10) tafuta website designer kupitia clutch.co aifanyie design vizuri kwamba website itatoa taarifa kuwa nyinyi ni akina nani na link ya app kwa PC, Mobile na iOS

11) mtafute Gilsant Mlaseko akushauri namna bora ya kui push kwa soko la Marekani kupitia social media na maswala ya SEO

12) Angalia MVP inaendaje watu wangapi wanapakua platform, early customer feedback ikoje

13) Andaa business plan ya kuwaandikia Us based investor kuhusu wao kuwekeza kwenye biashara yenu kiwango cha chini

14) strength yenu iwe kwenye security ya sharing

Sikushauri ulenge soko la Tanzania na Africa so ni bora kwa kuanza na soko la USA na Ulaya

Ni bonge moja la Idea ila unatakiwa ukae chini kupiga bonge moja la plan
Nimetengeneza app ya ku scan documents naomba mnisaidie kuijaribu. Inapatikana play store hapa ScanPal: Document scanner, scan to PDF - Apps on Google PlayView attachment 1429976

Naona upo vizuri kaka ushauri wako upo poa sana. Nitaufanyia kazi

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Naona upo vizuri kaka ushauri wako upo poa sana. Nitaufanyia kazi

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app

Kuna maeneo saba ambapo nyinyi mnaweza kuboresha katika kuwapita dropbox na kuifanya platform yenu iwe more valued eneo la kwanza ni kwenye ENCRYPTION AND SECURITY, kwenye mifumo ya ulinzi na encryption Dropbox hawafanyi yafuatayo

1) Encryption at rest and in transit
2) End-to-end encrypted storage
3) End-to-end encrypted sharing
4) Zero-knowledge authentication

Ukipata developer mzuri akatengeneza huu mfumo na akafanya integration kwenye mfumo wenu ni bonge moja la dili

kwa sasa Dropbox wao wanafanya yafuatayo ambapo na nyie mnaweza kufanya ili kuongeza ulinzi

1) 2-Step Verification
2) HIPAA Compliance
3) Custom server location

sehemu ya pili ni STORAGE NA MANAGEMENT
ukiwa unatumia dropbox huwezi kufanya
1) Sync any folders

ila dropbox unaweza kufanya yafuatayo
1) Desktop sync app
2) Linux sync app
3) Network Drive
4) Selective Synchronization

sehemu ya tatu ni MOBILITY ambapo hapa dropbox wamewekeza sana na nyie mnahakikisha platform yenu inafanya functionality kama dropbox ambapo functionality hizo ni pamoja na
1) Edit files on mobile devices
2) Automatic Camera Upload
3) Remote wipe of mobile devices
4) Passcode Lock on mobile devices
5) Cross-Device Support
6) Mobile App Rating
7) Zero-knowledge access from browsers

kwenye COLLABORATION currently dropbox hawawezi kufanya Outlook integration , nyie mnaweza kufanya na kwa kuongezea nyie mnaweza fanya yafuatayo ambayo wenyewe dropbox wanafanya

1) Unlimited file versioning
2) Deleted file recovery
3) Live, in-app collaboration

tukija kwenye CONTROLLED SHARING mnaweza kufanya yafuatayo ambapo na dropbox na wao wanafanya pia
1) Granular permission levels for collaborators
2) Password protection for links
3) Expiration date for links
4) Download limits for links

tukija kwenye ADMINISTRATION hakikisheni mna yafuatayo ambapo na wao dropox wanafanya
1) Admin console
2) Company-managed groups
3) Device restriction policies
4) IP-restrictions policies
5) Active directory integration

mwisho kwenye DEPLOYMENT hakikisha mnafanya yafuatayo ambapo dropbox na wao wanafanya

1) Support center
2) Live chat support
3) Deployment support for SMBs
4) On-premises deployment, Custom branding

hizi Features 7 zenye sub features 35 ukiziandika vizuri designed well, ukitafuta co-founders wawili wenye capabilities ya software programming, cybersecurity well UX/UI design mtatoa kitu ambacho hakijawahi kuwepo duniani mzee
 
App imeboreshwa
Sasa unaweza kusikiliza sauti za kitabu kizima cha Biblia hata kama app itakua imefungwa. (Listen in the background)

Pia unaweza kupakua (Download) sauti za kitabu kizima na baada ya kupakua unaweza kusikiliza muda wowote bila intaneti.

Ingia playstore na tafuta "Biblia Takatifu na Sauti" ili kuipakua app hii, au bofya kiungo hiki Biblia Takatifu na Sauti - Swahili audio Bible - Apps on Google Play
Screenshot_20200828-073149.jpg
Screenshot_20200828-073200.jpg
Screenshot_20200828-073054.jpg

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom