Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

Hamisi Omary,
Hiyo ni kozi ipo kwenye website kama utashindwa kulipia hiko kitabu. Ukibonyeza link hiyo ya android tutoriapoint kushoto kuna menu ya kozi yote ya Android ipo namna.

1545334329384.png


Kwa hiyo menu ina machaguo na link ambazo zina content kuhusu android, kwa kuwa ww ni beginner kabisa anza na hiyo na link ya kwanza kabisa.
 
SEHEMU YA KWANZA: MAHITAJI(TOOLS) YA KUWEZA KUFANIKISHA UUNDWAJI WA ANDROID APPS
Kuna programu kadhaa ambazo zinahitajika ili kuweza kuunda hizi apps, programu hizo ni kama zifuatazo.

1. kompyuta inapaswa iwe na JAVA Development kit (JDK),
Apps za android kwa asilimia kubwa huundwa kwa kutumia java hivyo ni vizuri ukapata SDK ya javaa ambayo ni latest kabisa, unaweza kuipata kwa kutumia link ifuatayo,
Java SE Development Kit 8 - Downloads

2. Android SDK ambayo imeambatanishwa na Android Studio IDE
Hizi tooks zipo kwa ajili ya platform(OS) tofauti tofauti, kwangu mimi nitakuwa natumia windows na si linux lakini ukitaka kwa upande wa linux pia zipo.
Android Studio ndio ambayo tutaitumia katika kuandika codes, hii ni IDE rasmi ya android kwani zamani Eclipse IDE ndio iliyokuwa inatumika.
links.
kwa ajili ya windows,
Download Android Studio and SDK Tools | Android Studio
Naomba msaada jinsi ya kuwezesha apps kwenye iphone 4 yenye ios 7.2.5 na jisi ya kuifta i cloud ambayo hauna password yake
 
Kumbe unataka kutengeneza desktop application, binafsi napenda kutumia hiyo QT framework kwa kutumia C/C++, tukimaliza hii kozi, tutahamia huko au kama una haraka nikupe vitabu na videos tutorials na source codes za software mbalimbali kama utahitaji.
Na mimi nazihitaji pia
 
All PDF reader
App ya kibongo
Open any PDF file, reduce pdf file size, combine multiple pdfs and many more. All these features are available for free and offline.
Available on Google play

Screenshot_20190525-155209.jpeg
Screenshot_20190525-155159.jpeg
 
Adsence account needed

Nahtaji adsence account yenye domain na website yake na iwe imetoa zaid ya mara 4. Please kama unayo na unaiuza naomba tuwasiliane inbox au kwa 0658268999
 
mwaminifuhalisi, Mimi nina idea ya kutengeneza APP inatakayoweza kututoa kimaisha, kama una utaalamu wa haya mambo nicheck ila nahitaji team ya watu wengi including wanaoweza/kujifunza ku HACK 0620343417 WhatsApp
 
Back
Top Bottom