Kuna burma tv, live football tv.Mkuu Mimi naomba Msaada WA kujua app ipi nzuri tofauti na mobdro ambayo inaonyesha ligi zote za Africa
Somo mbona halikuendeleaNaomba unipe vitabu video tutorial na source code
Me java siijui yaani kiufup sijui languag yoyote ila napenda kufanya mambo haya unanisaidiaje?Mbona nimejaribu kutoa somo kwa baadhi ya app, na hapa bado naendelea kudesign app niliyoahidi mara mwisho.
Simu yangu ni BLU advance 5.0 kuna ambae anaifahamu nataka kuirootJambo zuri kwa wale wanaohitaji kuwa na full access na simu zao. Usisahau pia kutoa tahadhari.
Siku hizi kuna njia nyingi watu wanatumia kutengeneza apps za android.Me java siijui yaani kiufupi sijui language yoyote ila napenda kufanya mambo haya unanisaidiaje?
Simu yako unaweza ukaroot kwa kutumia app ya kingo root.Cm yang n BLU advance 5.0 kuna ambae anaifaham natak kuiroot