Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Ni
Kuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
Ninazo nyimbo sita tu njoo what's app 0765544791
 
Kuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
yeah ilikuwa kwaya ya wazungu waliimba wazungu waliitengeneza wazungu ila katika studio za habari maalum arusha wamoto sana aiseeee
 
Kuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
HURU WAIMBAJI WA SIFA
 
Kuna album moja ya kwaya ambayo kwenye cassette yake kulikuwa na picha ya kifaru cha vita....nimeisahau jina...kama kuna mtu atakuwa anaikumbuka ile cassette na jina lake atabarikiwa sana
Tumain choir arusha/ shangilieni, album inaitwa silaha ya USHINDI, full abum ipo youtube
 
Kuna kwaya moja hivi ilishika sana ilikuwa ikiitwa kamenyula kama ntakuwa sijakosea spelling.

Naweza kupata album yao?
Ilikuwa inaitwa Kaminula Choir... Na ilikuwa Katumba-Mpanda.

Moja ya wimbo wao maarufu ni "Stefano" na mwingine ni "Haki Huinua Taifa"..
 
Ilikuwa inaitwa Kaminula Choir... Na ilikuwa Katumba-Mpanda.

Moja ya wimbo wao maarufu ni "Stefano" na mwingine ni "Haki Huinua Taifa"..
Kaminula Choir- Katumba Mpanda,KataviView attachment 1074023

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani mi natafuta nyimbo inayoimba ingia ingia twende kwa baba ina sound ya kicongo ila imeimbwa kwa kiswahili
 
Mi natafuta wimbo wa JENIFFER MGENDI - Tumrudie bwana (Mbona washangaa njiani)

Nahitaji first version yake maana youtubr nimeona ameurudia mara ya pili. Mi napenda ule original.

Pia kama kuna mkenya hapa au mtu anayemfuatilia SHARI MARTINS anipatie wimbo unaoitwa BACK TO MY CHURCH first version.

You tube upo mpya aliourudia... Ilamimi nauhitaji ule original alioimba kwenye album ya NIMEKUTAMBUA SHETANI.

Asanteni sana

Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wimbo sijui iliimba kwaya gani? Haya ni baadhi ya maneno ndani ya wimbo huo "Jerusalem *2 uuae manabii......Msalaba umeku kumbatia kama vile kifanga cha kuku Chini mbawa zake lakini umekataa " Naomba mwinye kujua huu ni wimbo wa kwaya gani anijuze au mwenye wimbo huu anitumie what's app. 0765544791 Natanguliza shukrani
 
Kuna kwaya nilikuwa nasikiliza nikiwa mdogo ila siikumbuki jina na nyimbo yake ila nakumbuka baadhi ya maneno...walikuwa wanaimba..
Maneno ya kinywa changu ee we bwana yakutukuze wee, wee Mwokozi wangu na mawazo yote ya moyoni mwangu yapate kibali mbele zako bwana.....
Naomba msaada wa jina la nyimbo...
 
Habarini waungwana
Mwenye nyimbo ya Nitamwandama bwana alienikomboa ule old version hawa ndo naupenda huu uliotoka miaka saba 2013 sijaupenda
.
Na kuna mwimbo wa zamani sijui waliimba choir gan unaimbwa
Yuda alikufa sababu ya kupenda pesa wanadamu wengi tumetawaliwa na pesa pesa inauwaaaaaaaa
 
Kama ukianzisha Whatsapp group linalo husu Old Gospel music tafadhali nikumbuke 0765544791 Asante
 
Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"

Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe

Kaka, kuna moja ilikuwa inaimba hivi

“Angalieni ndege wale wa angani, hawapandi wala hawavumi. Lakini muumba wetu mwenye uwezo huwalisha kila siku (Mara 2) “
Chorus

“Wale ndege wote wa angani wa angani
Wanakula kwa uwezo wake MUNGU
Kawaumba ndege wake mwenyewe wake mwenyewe
Hawawezi kuwaacha wafe na njaa.”

Hii nyimbo ilikuwa inapigwa sana Radio Tumain mwishoni mwa miaka na 90 na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2. Mwaka jana nilijaribu kuwaandikia radio Tumaini kuhusiana na hii nyimbo ila walishindwa kunisaidia huenda wale watangazaji waliokuwepo wameshastaafu au Wapo radio zingine. Sijui unaifahamu & au kuna mtu mwenye ataweza ikumbuka sijui ilikuwa ni choir gani ile
 
Wakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Ubarikiwe sana mkuu Yohana Kilimba kwa kuanzisha huu uzi muhimu sana kwa wanaJF
 
Back
Top Bottom