Uzi maalum wacheza soka wa zamani kuwataja walipo na timu walizochezea 1990 kurudi nyuma

Kuna mchezaji alikuwa anaitwa Damian Kimti, nadhani alichezea simba. Huyu hadi kuna viatu viliandikwa Kimti. Kwa wanaofahamu zaidi kumuhusu please mwageni taarifa.
huyo alicheza msimu mmoja,,akaachwa hakuwa mtanzania,,nadhani alikuwa mrundi,,hyo simba ya akina mackenzi ramadhani golini,,
 
Miaka ya nyuma mchezo wa soka ulikuwa una utamu wake wakati huo hakuna TV ni radio tu.Hebu tujaribu kutaja majina ya wapiga kabumbu wakati huo tukumbushane timu zao na walipo mimi naanza
Gibson Sembuli---Yanga alifariki 19 77
Omar Mahadh
Jela Mtagwa
Shaban Barazani
Sabu Ali
Maulidi Dilunga

Endeleni. .......
Hapo nadhani ulitaka kuandika Adam sabu (sabu ali )
Shaaban baraza (barazani )
Nb :ingekuwa jambo jema wakati tunawataja wakongwe hawa wale ambao tayari wamekwisha tangulia mbele ya haki wangetajwa. Hapa nitaanza na wachache ambao wamekwisha tutoka.
Athman mambosasa
Omar mahadhi
Joseph katuba
Rifatti said
John bosco
Ramadhan leny (abega)
Edward chumila
Method mogela
Ali machela
Ezekiel grayson (jujumen )
Rafael paul
Yusuph bana.
Stevin George
Ladislau shawa
Abdalah msamba
Omar Chogo
Mohamed kajole
Khamis gaga
Selestine mbunga (sikinde )
Dadi Athman
Aston pardon
Gibson sembuli
Ibrahim magongo
Daniel muhoja
Mchunga bakari
Husein tindwa
Ibrahim kiswabi
David rosta ndunguru
Mussa super kiwhelu
Abas mchemba
Christopher alex
Nb:wengine nitarudi
 
1990 kurudi nyumaaa?????????? mliwaona miaka hyo au mmewasoma tuu......mchfyuuuuuuu..

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom