Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
- Thread starter
- #21
Hilo eneo linaitwa Mwanga bar(maarufu kwa nyama choma na kuku ukiondoa Chako ni Chako)kuna vijiwe vya siasa na pia kuna Bendera za Vyama vya siasa hapo nakumbuka Ccm walikuwa na mkutano wao wakataka kuondoa bendera ya Chadema ndo mziki ukawa hivyo,muhimu ni kwamba hawakufanikiwa kuondoa bendera na mkutano wao haukufanyika(mgeni rasmi wa Ccm alikuwa anaitwa Ismail Rage mbunge wa zamani wa Tabora huko ilikuwa 2011 kama sikosei)Wana chadema hebu nijuzeni kama jamaa huyo bado anaishi.View attachment 1071318
Asante, nyuzi kama hizi ni muhimu sana, laiti wapiga kura wote wangekuwa wanaziona.
Chadema kimeamua ku invest on magari badala ya reaching out strategies to reach wapiga kura wao.
P
Hii picha imenichekesha sana. Lakini huyo mwenye bahasha alivyoshika jiwe sio taam kweli? Na huyo babu mwenye baraghsshia hali watu huyo? Na huyo mwenye nguo nyekundu haikosi ni majnunWana chadema hebu nijuzeni kama jamaa huyo bado anaishi.View attachment 1071318
Daaaah jamaa katulia kwa nidhamu