Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,021
- 2,296
Habari wanajamvi.
Nimeona nianzishe uzi ambao nitapost nyumba au apartment zinazouzwa hapa Tanzania, hasa Dar es salaam.
Nyumba zipo nyingi na za bei tofauti zinazouzwa, Nitakua napost nyumba ilipo, bei na picha!
Bei ya za nyumba zinatofautiana kulingana na ubora wa nyumba, mahali ilipo, na pia kulingana na mmiliki vinginevyo "ceteris paribus"
Pia wakati mwingine nitapost viwanja!
Angalizo;
Uzi huu ni Nyumba kupitia dalali Tunzo kama kuna mtu/ au dalali atapost nyumba yake kupitia uzi huu, ukiridhika na nyumba yake na ukaamua kumtafuta (Mtafute for your own risk) hakikisha unajiridhisha na nyumba inayouzwa kabla hujatoa pesa yako, Vinginevyo pitia kwangu.
Namba zangu ni 0684448888 au 0713415537.
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app