Uzi maalum wa Nyumba/Apartment zinazouzwa na kupangishwa

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,017
2,291
Habari wanajamvi.

Nimeona nianzishe uzi ambao nitapost nyumba au apartment zinazouzwa hapa Tanzania, hasa Dar es salaam.
Nyumba zipo nyingi na za bei tofauti zinazouzwa, Nitakua napost nyumba ilipo, bei na picha!
Bei ya za nyumba zinatofautiana kulingana na ubora wa nyumba, mahali ilipo, na pia kulingana na mmiliki vinginevyo "ceteris paribus"

Pia wakati mwingine nitapost viwanja!

Angalizo;
Uzi huu ni Nyumba kupitia dalali Tunzo kama kuna mtu/ au dalali atapost nyumba yake kupitia uzi huu, ukiridhika na nyumba yake na ukaamua kumtafuta (Mtafute for your own risk) hakikisha unajiridhisha na nyumba inayouzwa kabla hujatoa pesa yako, Vinginevyo pitia kwangu.

Namba zangu ni 0684448888 au 0713415537.

Karibuni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Nyumba inauzwa kwa Bei ya Tsh mill 42. Na Maongezi yapo, Nyumba ipo Mbagala Chamazi DSM ipo wilaya ya Temeke ,In Sitting room, dinning,Dinning, kitchen, Ina full tiles , umeme na Maji , ina full fence ya Gari 2 ndani, Na hii Nyumba INA Vyumba 3 na kwa Uwani ina Banda la Vyumba Viwili , Na hii Nyumba ipo karibu sana na huduma zote za kijamii.
Picha zaidi nichek whatsapp
IMG-20190416-WA0002.jpeg
IMG-20190415-WA0019.jpeg
IMG-20190415-WA0018.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
*HOSTEL INAUZWA...*

Ipo Mbezi Ruguluni karibu na chuo cha St Joseph (1 km toka Hostel hadi chuoni)

Ina jumla ya vyumba 24

Vyumba 22 vina vyoo ndani (self contained rooms)

Vyumba 2 vina sebule na vyoo ndani (living & siting self contained rooms)

Kuna maji ya DAWASCO

Kuna kisima cha kisasa

Kuna tanki 2 za lita 10,000 kila moja za kuhifadhia maji

Kuna eneo la kulia chakula

Kuna eneo la kuegesha magari tisa

Imezungushiwa ukuta na geti

Kuna vizuia moto na vifaa vya kuzimia moto

Ipo kwenye eneo la ukubwa wa 667 sqm

*Bei Tshs 300,000,000/= (milioni mia tatu tu)*
Maongezi yapo...
Maelezo zaodi napicha nichek whatsapp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Nyumba Inauzwa kwa Bei ya Tsh mill 35 Na Maongezi yapo IPO Mbagala Chamazi DSM ipo ktk wilaya ya Temeke. Ina Vyumba 4 kimoja Master bedroom, Ina Public toilet, Sitting room, Dinning, Kitchen, Ina Umeme na Maji na Nyumba ipo ndani ya fensi.
IMG-20190416-WA0014.jpeg
IMG-20190416-WA0013.jpeg
IMG-20190416-WA0007.jpeg
IMG-20190416-WA0011.jpeg
IMG-20190416-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANGAZO TANGAZO/ NYUMBA NYUMBA
----------------------------------
Nauza nyumba ipo mbezi kwa msuguli karibu na kanisa la mji wa bwana
-------------------------------
》Vyumba 8 na viwili ni vya singo
》Ilijengwa kwa mfumo WA gesthouse

Hii nyumba hii inauzwa kwa mnada.

》Kutoka rami mpaka ktk nyumba ni mwendo WA dk 5 kwa mguu

》Bei ya makadilio 40m ila bei itapanda au kupungua kulingana na mnada.
Atakaekua interested tuwasiliane
IMG-20190416-WA0005.jpeg
IMG-20190416-WA0003.jpeg
IMG-20190416-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba ya gorofa inauzwa
ina room 5(3 n masterbedroom)
sitting room,dining and open kitchen
Nyumba ni mpya
________________________
Parking ipo ya zaid ya magar matatu
Umeme na maji yapo ya kutosha
Location: Ununio
Ipo karibu na bahari
_________________________
Bei: million 200 tuu

_________________________
ina hati miliki
ukubwa wa eneoe:square meter 600

IMG-20190415-WA0014.jpeg
IMG-20190415-WA0016.jpeg
IMG-20190415-WA0017.jpeg
IMG-20190415-WA0015.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HOUSE FOR SALE
BEI MILIONI 190
IPO KIGAMBONI KIBADA

NYUMBA INA VYUMBA VINNE
#Viwili master. Sitting room dinning room toilet public jiko stor ina parking maji na Umeme

NYUMBA INA HATI KIWANJA KINA SQM 1000

Wale wanaopenda kigambini wahini mjengo huo
Pia zipo nyingine zinakuja.
IMG-20190416-WA0029.jpeg
IMG-20190416-WA0030.jpeg
IMG-20190416-WA0031.jpeg
IMG-20190416-WA0028.jpeg
IMG-20190416-WA0035.jpeg
IMG-20190416-WA0037.jpeg
IMG-20190416-WA0031.jpeg
IMG-20190416-WA0033.jpeg
IMG-20190416-WA0027.jpeg
IMG-20190416-WA0036.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA ZINAUZWA ZIPO 2
BEI MILIONI 150 ZOTE 2
ZIPO KIGAMBONI MJIMWEMA

KILA NYUMBA INA VYUMBA VITATU
#Kimoja master sitting room dinning room toilet public jiko stor zina parking.
IMG-20190416-WA0044.jpeg
IMG-20190416-WA0043.jpeg
IMG-20190416-WA0046.jpeg
IMG-20190416-WA0041.jpeg
IMG-20190416-WA0042.jpeg
IMG-20190416-WA0045.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA inauzwa IPO Ukonga kipunguni NYUMBA ina vyumba vitatu kimoja master ukubwa Wa Kiwanja sqm 1000 NYUMBA inakisima cha maji paki IPO na hati IPO bei ni 140M
IMG-20190416-WA0049.jpeg
IMG-20190416-WA0050.jpeg
IMG-20190416-WA0048.jpeg
IMG-20190416-WA0047.jpeg
IMG-20190416-WA0051.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA NA ENEO KUBWA LINAUZWA
LOCATIOM: BUNJU B (BAHARIA)

NYUMBA MOJA Ya
VYUMBA V3,SEBULE CHOO JIKO
BEI 60M
___________________________________________

Nyumba ipo kilometer moja kutoka kituo cha bus kinachoitwa baharia
Ukubwa wa eneo ni sqm 500
-------------------------
Pembeni yake pia kuna viwanja vinauzwa
KIWANJA CHA MIGUU 30 KWA 20
BEI 9M

IMG-20190416-WA0052.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA inauzwa IPO moshi bar NYUMBA ya vyumba 3 jiko master sebure stoo maji umeme ukubwa Wa KIWANJA mitaa 20+20 NYUMBA IPO Ukonga moshi bar being ml 60.
IMG-20190416-WA0058.jpeg
IMG-20190416-WA0056.jpeg
IMG-20190416-WA0055.jpeg
IMG-20190416-WA0057.jpeg
IMG-20190416-WA0059.jpeg
IMG-20190416-WA0060.jpeg
IMG-20190416-WA0061.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190416-WA0061.jpeg
    IMG-20190416-WA0061.jpeg
    56 KB · Views: 70
  • IMG-20190416-WA0059.jpeg
    IMG-20190416-WA0059.jpeg
    64.3 KB · Views: 57
Kuna Petrol station ipo maeneo ya kibaha.

Ukubwa wa eneo lake ni sqmtr 3200

Ina hati miliki (title deed)

Ina pump 5, kati ya hizi ya mafuta ya taa ni 1.

Bei bilion 2.5 maongezi yapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HOUSE FOR SALE
BEI MILIONI 75
IPO KIGAMBONI KISIWANI

INA VYUMBA VITATU
#Kimoja master sitting room dinning room toilet public jiko stor ina parking
IMG-20190416-WA0066.jpeg
IMG-20190416-WA0065.jpeg
IMG-20190416-WA0064.jpeg
IMG-20190416-WA0067.jpeg
IMG-20190416-WA0068.jpeg
IMG-20190416-WA0069.jpeg
IMG-20190416-WA0063.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eneo lipo masaki Ni uwanjaa squaree meter 2000 kwenye lami kabisa near marybrown na shoppers Yani amazing area uwanja ambao Teari una ukuta, bei ni $600,000
IMG-20190416-WA0073.jpeg
IMG-20190416-WA0072.jpeg
IMG-20190416-WA0075.jpeg
IMG-20190416-WA0074.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HOUSE FOR SALE
BEI MILIONI 80
IPO KIGAMBONI KIBADA

INA VYUMBA VITATU
#Kimoja master sitting room dinning room toilet public jiko stor ina parking.
IMG-20190416-WA0076.jpeg
IMG-20190416-WA0083.jpeg
IMG-20190416-WA0077.jpeg
IMG-20190416-WA0080.jpeg
IMG-20190416-WA0081.jpeg
IMG-20190416-WA0079.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
VIWANJA VINAUZWA
NI VIWANJA 15 VYA KUANZIA SQM 400
VIMEPIMWA VIZURI.
BARABARA ZIMECHONGWA VIZURI
LOCATION
BUNJU A
Mkono wa kushoto kama unaenda bagamoyo

DOCUMENTS
Vimepimwa imebaki hati tu.
Utafatilia mwenyewe ndo maana vinauzwa hiyo bei.

BEI
Tsh milion 5 tu(bei ya kimoja)

USHAURI
Njoo mapema uchague kikubwa zaidi

IMG-20190416-WA0085.jpeg
IMG-20190416-WA0087.jpeg
IMG-20190416-WA0086.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom