Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,495
- 13,132
Acha matusi mzeeUsikute ww ni mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha matusi mzeeUsikute ww ni mwanamke
Una matatizo ya nguvu za kiume ama? Asali na limau?Nimeamka saa 05:38
Kisha nikanywa mchanganyiko wa asali na limau
Baada ya hapo nikaingia katika tafakuri kwa dakika kumi (haikuwa deeply Sana)
KISHA Nika fanya mazoezi
Squats 50
Push ups 40
Kisha nikaoga Kisha kituoni kugombania gari na wananchi wenzanguView attachment 1098936 seat ya mwisho kabisaView attachment 1098935
For detoxificationUna matatizo ya nguvu za kiume ama? Asali na limau?
Umeolewa?For detoxification
Ndugu hicho kitabu cha kwanza ni kizuri sana ,huyu mwandishi ana philosophy ya juu sana,Mimi sio Jehovah witness but nilivutiwa na hayo maandishi ,big upNakutana na vitabu ambavyo nilipewa zawadi na Shahidi wa yehova mwaka Jana ..broshua zote mbili za maswali ambayo vijana huuliza..nitakirudia kukisoma kitabu hiki lakini kwanza tufanye mazoezi ya viungo.yoga stretches,Kisha tunywe maji Sana Kisha tukafanye ibada View attachment 1099407View attachment 1099408View attachment 1099409View attachment 1099410
Kabisa halafu siku ikifahamika wale waliomtosa PM/ hawakumjibu PM watajutiaUnaonekana handsome gentleman wa nguvu..utakuta una career yako huko mfano mwanasheria..bila humu unaandika mambo ya kibangebange sana..
Behaviourist