NaamNashukuru mwenyeziMungu.naandika mengine pia katika journaling manually baada ya ushauri wa member fulani.mimi naamini sifanyi hivi kwa ajili ya kumfanya fulani afurahi.nataka nionyeshe knowledge inatakiwa isambazwe sio ifichwe.mimi mwenyewe nafanya chochote kizuri ambacho kitanipa faraja
Kumbe ni wewe nimeshakufahamu.Huu Ni uzi wangu maalumu kwa ajili yangu kupost kila jambo nitakalokuwa nalifanya katika dunia ili kuweka kumbukumbu ya safari ya maisha yangu na jinsi ninavyopokea maelekezo kutoka kwa mwenyeziMungu.chochote nitakachokuwa nakifanya nitakiandika hapa na ikiwezekana nitaweka picha ya tukio,kitu au sehemu nilipo.Ni idea ambayo itaniwezesha sana Mimi kuyatumia maisha yangu vizuri.kama Kuna swali ambalo utapenda kuniuliza nitalijibu kama nitaona inafaa ila kama sitalijibu Basi ujue nimeona halifai.kwa hiyo kifupi lifestyles yangu yote nitakuwa Niki share katika Uzi wangu.
Kwa Mara nyingine nitumie Uzi huu huu kujitambulisha Zaidi kwa kuweka baadhi ya picha zangu lakini nitazi crop View attachment 1095219View attachment 1095220

Nimekubali mzeiya hasa hapo kwa James dandu.shukrani Sana naidownload..BTW sijui kwanini Tupac huwa simkubali kabisaNimeipenda play list yako ,ongeza na hiiView attachment 1098469View attachment 1098470
Bado kidogo atakata pumzi ya kuandika hapa!
Usikute ww ni mwanamke-nakula mapema angalau kabla ya 19:30 usiku
-nakula greens kwa wingi
-nakula kidogo
View attachment 1098584