Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,730
- 155,414
Utoto ni kipindi ambacho ni kitamu zaidi maishani,ni stress free, yaani kila kitu safi kabisa.
Nimeamua kuweka Uzi huu ili kukienzi kipindi hicho adhimu.
Hapa jukwaani kuna wengi ambao wanauenzi utoto wao kwa kutumia avatar za walipokuwa watoto, miongoni mwao ni kamanda mkuu wa makamanda wapole Sir Mwifwa.
Hapa chini ni Picha zangu, moja imepigwa mwaka 1962, na nyingine mwaka 1966.