Subiri wanakuja.Mimi natafuta mtu wa faida.Jinsia yeyote.
Umri: 30
Makazi: Dar
Elimu: Standard 7
Kazi: ......
Gari: sina
Pesa: sina ila nitapata siku zijazo
Jinsia: Me
Kigezo changu kimoja tu hapo kimekosekana......kama upo tayari nikusilimishe uwe unavaa ushungiUmri: miaka 28
Elimu: Degree
Kazi: muajiriwa sekta binafsi
Dini: Mkristo
Sifa za mke
Umri: 20-26
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote hata asipokua na kazi sawa
Hee huyu si ni mwanaume mwenzio jamani! Umsilimishe tena😳😳Kigezo changu kimoja tu hapo kimekosekana......kama upo tayari nikusilimishe uwe unavaa ushungi
ushasema akuspoil, unconditionally inatoka wapi tena? Au hata hujui maana yake?Natafta mtu tu wa kunispoil ( kuhudumia mahitaji yangu) and I will love you unconditionally. .
wasimbe ni niniWasimbe sugu imekula kwetu sio kkkkkk
Msimbe maana yake mwanamke au Mwanaume ambae umri wa kuoa au kuolewa umefika ila hajafanya hivyowasimbe ni nini
Njoo pmNatafta mtu tu wa kunispoil ( kuhudumia mahitaji yangu) and I will love you unconditionally. .
we jamaa bana.hayaUkiona hvyo sina sifa ya kua mkewe!!!!!!
SawaMsimbe maana yake mwanamke au Mwanaume ambae umri wa kuoa au kuolewa umefika ila hajafanya hivyo