Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kwa mdada aliye serious miaka 22 - 32 , dini awe mkistro asiwe na mtoto
Kuhusu mimi jinsia : ME, umri miaka: 30, urefu :ft 6+, rangi:Mweusi, kazi :mtumishi wa umma , makazi: mbeya town
Haiba yangu ni mimi ni mpole, sio mtu wa kujichanganya kisana, nina marafiki wachache na pia sio muongeaji sana
Mdada aliye interested karibu DM..
Vigezo vyote ninavyo, shida nina watoto wanne kama upo tayari karibu
 
Ntakua mwanza kwa siku za mwezi huu zilizobaki

I was just wondering if naweza pata rafiki wa Ku hangout nae

Asiwe mbahili
Awe smart and good looking/ attractive maana mm wa kawaida sana at least tubalance muonekano.
Jinsia Me 1 na ke 1

Thanks
 
Kwa mdada aliye serious miaka 22 - 32 , dini awe mkistro asiwe na mtoto
Kuhusu mimi jinsia : ME, umri miaka: 30, urefu :ft 6+, rangi:Mweusi, kazi :mtumishi wa umma , makazi: mbeya town
Haiba yangu ni mimi ni mpole, sio mtu wa kujichanganya kisana, nina marafiki wachache na pia sio muongeaji sana
Mdada aliye interested karibu DM..
 
Gentleman Pirate
Umri: 28
Dini: muislamu,mkristo
Sifa: mcheshi
Kazi: askari
Elimu: mhandisi
Mkoa: Arusha,Manyara

Mwanamke
Anayejielewa na kujua anachofanya
Umri wowote
Dini yeyote
 
Ntakua mwanza kwa siku za mwezi huu zilizobaki

I was just wondering if naweza pata rafiki wa Ku hangout nae

Asiwe mbahili
Awe smart and good looking/ attractive maana mm wa kawaida sana at least tubalance muonekano.
Jinsia Me 1 na ke 1

Thanks
Mkuu bado uko mwanza?
 
Natafuta boyfriend awe na miaka kuanzia 28 mpk 34 awe mkristo anaejua kwenda kanisani sio kusubiri mpaka sikukuu awe anajali kwa mawasiliano ajue umuhimu wa kuwasiliana kila siku kama hujui kuwasiliana unakaa kimya siku nzima sitakueza upite kushoto ahsante
Mkuu Mambo!
 
natafuta mwanamke wa kuoa
sifa:
awe bonge mwenye matako makubwa malaini, mwenye umri wowote.
kama upo nicheki pm tuyajenge mrembo.
 
Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..
Hivi kweli Usalama wa Taifa huwa wanajitambulisha hadi JF???
 
Back
Top Bottom