Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Professor jr

Member
Apr 24, 2019
21
75
Mimi
Location Dar es salaam
Elimu degree holder
Dini Mkristo
Umri 23
Kazi jobless
Urefu 168cm
Rangi Mweusi

Naemuhitaji
Umri 18-21
Elimu ajue kusoma na kuandika
Dini yeyeto ila navutiwa zaidi na waislam
Rangi awe mweupe au maji ya kunde
 

boy 1

JF-Expert Member
Jul 29, 2016
396
500
Jina abuu
Umri 32
Elimu. diploma
Makazi dar
Kazi mwajiriwa serikali
Wife anajitajika sifa zake
Awe muislamu
Mwembamba
Mweusi
Anaishi dar
Asiwe na mtoto
Njoo pm kama unasifa hizo tu
 

Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
145
250
Miaka yangu 34
Mfanya biashara / Muajiriwa
Naishi Dar es salaam
Mrefu wa wastan mweusi wa maji ya kunde,
Nina Diploma (akili za masters)
Sijawahi kuoa ( Nahitaji mtu serous wa kuingia katika maisha ya Ndoa si vingnevyo)

Sifa za Nayemtafuta:-
Miaka 18 - 32
Elimu yoyote ya kufuta tu ujinga (Awe na akili ya maisha)
Anayejitambua, Ajue kuvaa smart na kupendeza (Ajipende)
Kama ana mtoto asizidi mmoja
Kabila lolote,
Asiwe mfupi
Asiwe mnene saana (kibonge)
Muonekano ni muhimu pia

Mengine zaidi karibu PM Kwa aliye serous tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom