Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ€£πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘Mashangazi watakuachia laana
Hapana hiyo laana ingekua ni kweli basi sasa hivi ningekua chizi...
Sema tu wana kuwaga na masharti sana ila mi mzoefu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hapana hiyo laana ingekua ni kweli basi sasa hivi ningekua chizi...
Sema tu wana kuwaga na masharti sana ila mi mzoefu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ NJOO nikupe shangazi yangu ila huko around 70+ na hana meno mbele
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ NJOO nikupe shangazi yangu ila huko around 70+ na hana meno mbele
Mweeeeeh kuwa na huruma wewe .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hizi ndo laana sasa...
Yaan around 70+ kweli jamni.hata kama πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
SI unataka kulelewa au 😁😁😁🀣🀣🀣
 
Umri: 29
Elimu: Degree ya pili
Dini: Freemason
Naishi: Dodoma
Kazi: Businessman/ Mtumishi Serikalinj
Pesa ipo ya kutosha

SIFA YA MCHUMBA ANAEHITAJIKA
Umri : 23-27
Elimu: kidatu cha nne na kuendelea
Asiwe kibonge wala mwembamba
Dini: Yoyote
Kabila: Lolote
Asiwe single mother
Karibu DM ipo wazi 24hrs
 
Connection nami nijiunge Freemason mkuu
Umri: 29
Elimu: Degree ya pili
Dini: Freemason
Naishi: Dodoma
Kazi: Businessman/ Mtumishi Serikalinj
Pesa ipo ya kutosha

SIFA YA MCHUMBA ANAEHITAJIKA
Umri : 23-27
Elimu: kidatu cha nne na kuendelea
Asiwe kibonge wala mwembamba
Dini: Yoyote
Kabila: Lolote
Asiwe single mother
Karibu DM ipo wazi 24hrs
 
Back
Top Bottom