SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

Jury

Senior Member
Feb 6, 2018
196
146
TAFADHALI ZINGATIA MADA HUSIKA NA UWEKE PICHA SAHIHI
Natamani kuona home screens za simu za member wa JF zinaonekanaje.Una manage vipi home screen ya sim yako?unapangaje vitu au unaweka weka apps bila mpangilio kama jiko la bachelor
unatumia theme gani,unatumia wallpapaper gani
Pigeni screenshot afu mtupie twende sawa
Ukipenda screenshot ya mwingine unaomba maunjanja

naanza na hii
screen ya kwanza ni kwaajili ya folders,media na market app

left.png

Screen ya pili ni kwaajili ya apps nazotumia mara kwa mara
center.png

Screen ya tatu inabaki wazi kwaajili ya widgets zikiwa available
right.png

Tuendelee...
 
Kuna uzi kama huu ulishatembea huko nyuma sikumbuki lini, well ukuta wa kioo cha simu yangu una mipasuko mingi na camera imefifia. Ngoja nione kama itanakili taswira mnato...

Kwishney...
Tuko android 10 naamini ni mengi yamebadilika mpaka sasa
Mipasuko na camera haina shida chukua screenshot
 
Tuko android 10 naamini ni mengi yamebadilika mpaka sasa
Mipasuko na camera haina shida chukua screenshot

Nilifanya hiyo screen shot ila kumbe kuna taswira ya mtu muhimu sana kwangu na sitaki kuitoa maana hizo taswira sinazo tena kwenye simu hivo nikiitoa ili nichukue screenshot sitapata tena hizo taswira.

All the best with other fellas.
 
Aisee inawezekana ukabackup ukascreenashot then ukarudisha bila kuipoteza its possible
Anyway sio mandatory pitia pitia za wengine humu u may see something kind'a of enthusiastic
 
Aisee inawezekana ukabackup ukascreenashot then ukarudisha bila kuipoteza its possible
Anyway sio compulsory pitia pitia za wengine humu u may see something kind'a of enthusiastic

Thanks for understanding, hayo ma back up na restore kwangu ni mashokolo mageni....

Ngoja niendelee kukodoa macho labda naweza shawishika..
 
Thanks for understanding, hayo ma back up na restore kwangu ni mashokolo mageni....

Ngoja niendelee kukodoa macho labda naweza shawishika..
Okay ila icho kibantu sijaelewa

Ukiwa na interest ya kujifunza hayo
marestore na backup ur more than welcomed technology is everywhere

Wacha tutulie kwenye siti
 
Okay ila icho kibantu sijaelewa

Ukiwa na interest ya kujifunza hayo
marestore na backup ur more than welcomed technology is everywhere

Wacha tutulie kwenye siti

Thanks again, let me schedule myself and when am ready I'll enroll in your class to learn restore and backup technology.

Till then, cheers.
 
Back
Top Bottom