antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,626
- 120,115
Chelsea wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kumnunua mlinzi wa kushoto wa Stuttgart Borna Sosa, 24. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Croatia alilengwa na Aston Villa mapema wakati wa dirisha la usajili, huku Inter Milan pia ikimtaka.(Sky Deutschland's Marc Behrenbeck on Twitter-in German)