Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini katika tamaduni nyingi, hasa watu wa bara la Asia wanawashirikisha katika milo yao pamoja na wadudu wengine sehemu nyingine ni Huko Thailand wanaona Mende kuwa chakula kitamu haswa ikiwa imekaangwa sana kwenye mafuta ili kupata umbile na ladha hiyo iliyochanika.
 
Habari wana jf, je kuna baishara ambayo ipo ndani ya akili yako ambayo unaiwaza cku moja ukipata pesa uje kuifanya?

Kwangu jibu ndio cjui upande wako, mm binafsi naona biashara ya kufungua mashine ya kukoboa mpunga, mashine ya kusaga unga na mashine ya kusaga sembe ya kuuza kwa jumla biashara hizi 3 zipo ktk mfumo mmoja zinalipa,

Nianze na biashara ya kukoboa mpunga, biashara hii inaitaji mtaji kiasi eneo la wazi na eneo la kuhifadhia mpunga (stoo)

Ukifungua mashine na ukawa na eneo la wazi kwa ajili ya kuanika mpunga wanaoleta wateja, lkn pia uwe na stoo kwa ajili ya kuhifadhi mpunga ambao hukobolewa miezi ya mbele, lkn pia uwe na mtaji toshelezi,

Kwann unatakiwa kuwa na mtaji tena wa pesa cash , kuna baadhi ya wafanyabiashara wanaleta mpunga mashine kwako mfano gunia 100, lkn ule mpunga hajalipa pesa ya nauli na hana kwa iyo ww mwenye mashine unamlipia kisha akikoboa na kuuuza unachukua pesa yako, sasa hapo kwa cku inaweza pokea guni 1000 ambazo unatakiwa ulipie kutoka kwa wateja tofauti tofauti lkn pia unaweza lipia mzigo na usikobolewe kwa cku hata 5 au mwezi mzimaaa hapo mteja labda hajaridhika na bei au mteja ameagiza gali ilete mzigo wakati yeye yupo shamba bado anakusanya mzigo mwongine ndio linapokuja swala la mtaji toshelezi,

Lkn pia ukiwa na stoo kubwa utaifadhi mpunga mwingi kuna sehemu kuhifadhi mpunga kuanzia mwezi wa 6-mpaka utakapoutoa gunia sh 2000 sasa kama unayo stoo ya kuhifadhi gunia 10000 utakuwa umeingiza sh ngapi kwa kuhidhi mpunga mpunga tu, na 90%wanaotoa mpunga hukoboa pale pale wachache huchukua kwa ajili ya mbegu au wengine huwamisha mashine kutokana na huduma itolewayo huko anapopeleka,

Lkn biashara hii inakupa faida zaid ktk kukoboa mpunga maana kilo moja hukobowela kwa sh 40-60 kutokana na sehemu husika na kilo 100 hutumia unatimia unit 4 za umeme ambazo unakuwa umenunua kwa sh 1000 wastani kila unit 250, kama unatoza kila kilo sh 40 gunia la kilo 100 utakuwa umeingiza sh 4000 ukitoa 1000 ya umeme unakuwa umeingiza faida 3000, kama utakuwa unatoza kilo sh 50 utakuwa umeingiza faida ya 4000 na kama utakuwa unatoza kilo sh 60 utakuwa umeingiza faida ya sh 5000, hii ni kwa uchache kuhusu biashara hii, lkn ktk jambo lolote hakukosi changamoto, sasa changamoto ya biashara hii kwanza kupotea kwa magunia ya mpunga indepo hautokuwa makini au ukawa na wafanyakazi wezi, wanauza mpunga uliowekwa na watu ule wa stoo mwisho wa cku unakuta gunia 2 hazipo au hata mlinzi anaweza akauza ucku, changaoto ya pili wizi wa mchele kwa wateja wanaokuja kukoboa yaani mteja akiona fulani ameibiwa nae anahama kwa maana anajua ipo siku atakuja kuibiwa yeye , hizi ndio changamoto kuubwa ktk biashara hii, na biashara hii ili iwe safi usiwe mmbahili kuhudumia mashine kuna jamaa alikuwa kwa cku anatumia unit 1500 unajua alikuwa anaingiza sh ngapi kwa cku moja?

Natamani sana kufanya hii lkn cjapata mtaji kama kuna mtu anamtaji tukajichimbie hukoo mkoani tupige kazi hii ni pesa nje nje,

Kuhusu biashara ya sembe , mashine ya kusaga na kuwahudumia watu kama una swali njooo mp

Na kuhusu kutengeneza chakula cha kuku aina zote au kuchanganya dawa na vipimo vya malighili njoo mp au unaweza kuja whatsapp kwa +255785332010
 
Back
Top Bottom