Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,184
- 1,095,288
Dalili hizi hufikia kilele ndani ya masaa 48 hadi 72 na hufika kikomo baada ya wiki.
Duh!! hatariDalili ambazo hutokea mara tu anapotumia Heroin:
Kujisikia mwenye furaha na raha
Kupishana Kusikia hali usingizi na tahadhari
Midomo kuwa mikavu
Misuli kuishiwa nguvu
Kuhema polepole
Warm skin flushing
Mikono na miguu kuwa mizito
kope za macho kulegea
Fafanua kidogo unatambuajeWatalaam wanasema usitingishe mtungi wa gesi kutambua kama gesi imeisha ama bado, tumia kitambaa kiweke maji kisha paka kwenye huo mtungi kwa pembeni na utaona kiasi kilichobaki.
AminPoleni wagonjwa wote, Mungu awaponye
Hongereni wakulima wote...
Hongereni wajasiriamali wote...