Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani! Shkamoo uzee uwiii
Dawa ya kutokuzeeka
Nenda Israeli sis. Kuna Intensive Oxygen therapy imethibitishwa kuzuia DNA isiendelee kumomonyoka kwa muda wa miaka 15. Mabadiliko ni ya ghafla na mtu unabakia vile vile kwa muda wa miaka 15 ijayo. Wenye hela wanakwenda huko kustopisha uzee na kupata mwonekano mzuri.
Screenshot_20210923-071307_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom