Zidani
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 970
- 3,939
Salama Enzi ya kipindi cha mikasi EATV.
Kitambo sana huyu mwambaView attachment 1943624
Iddi Ligongo now VoA.
Siku hizi yupo VoA kwa biden 😀😀Kitambo sana huyu mwamba
Maisha ni safariSiku hizi yupo VoA kwa biden 😀😀
Atakaye dondosha hako kamti aisee ilikuwa ni kichapo kizito 😀😀
Kabaki kitenge kutangaza mbeleView attachment 1943628
Maulidi kitenge na Salim kikeke waliwahi kufanya kazi pamoja ITV.
Yeah ni kweli leo upo hapa kesho pale.Maisha ni safari
Kamchezo kameniachia kovu mguuniAtakaye dondosha hako kamti aisee ilikuwa ni kichapo kizito 😀😀
Mzee wa safari huyo nadhani yeye aneamua kubaki bongo tu.Kabaki kitenge kutangaza mbele
Ulijikwaa katika kukimbia nini kuogopa kipigo😀😀Kamchezo kameniachia kovu mguuni
Nilijichoma na kipande cha chupa wakati nakimbia kushika nguzo ya umemeKamchezo kameniachia kovu mguuni
Kizuri hakidumuView attachment 1943647
Amina chifupa Nadhani hii picha nikile kipindi kile bado mtangazaji pale Clouds