Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9D2D97A8-44F9-40F0-9017-F41A2E1B20F1.jpeg
 
Changamoto hii kwa kiwango kikubwa husababishwa na mambo yafuatayo kwenye Kompyuta yako.
1.Uwepo wa tatizo/msuguano wa “Hardware” kwenye Kompyuta.
2. Kompyuta kuwa na joto saana.
3. Kuharibika kwa HDD kwenye Kompyuta husika.
4.Kutokuwepo kwa RAM yenye uwezo mkubwa/RAM kushindwa kufanya kazi kwa Ufasaha.
5. Kuwepo kwa virusi kwenye Kompyuta yako.
6. Kutoweka/” Install drivers”zinazoendana na Kompyuta yako.
7. Tatizo la umeme kwenye kompyuta yako.
8. Kuharibika kwa “Window” kwenye Kompyuta.

Pia unapokuwa na Changamoto yoyote kwenye Laptop, Desktop, Tablet na Simu yako Usisite kututafuta kwa UTATUZI Zaidi wa Changamoto hiyo na Changamoto zingine zaidi.

0787085290
+255719169981
#ilala #daressalaam #tegeta

FB_IMG_16284916373755948.jpg
 
Back
Top Bottom