moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,733
- 690,729
Wasiojulikana sasa wapo Nigeria
Nakumbusha wanaume wenzangu tusisahau fire extinguishers msije sema sikusema
Gr8 mkuu Mambo vipi pande za KenyaHabari yenu
Swafi swafi mkuu. Upande huu hakuna ubaya wowte isipokuwa baridi ndio mingi.Gr8 mkuu Mambo vipi pande za Kenya
Sawasawa..NYANYA, KAROTI NA TUFAHA
Juisi yenye mchanganyiko wa matunda haya hufanya ngozi ya mwili mzima kuwa nyororo na huondoa harufu mbaya mdomoni.
Amina karibu sanaSwafi swafi mkuu. Upande huu hakuna ubaya wowte isipokuwa baridi ndio mingi.
👍👍Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini – na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
J.Savimbi...War VeteranView attachment 1858633