BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
Pole sana mkuuWe acha tu!
Sasa niko kwa mama na mambo yatakuwa fresh tu,
Wakuu walipata shock kuona ubambikizwaji wa case ulivyo kuwa umeshamiri.
Wao walikuwa wana taka watu wa plea bargain, wengine waliingia, but it was totally sad, Maana mtu hata kama yuko innocent inabidi anunue uhuru wake sad.
Nashukuru yamepita na nimejifunza kitu!
There is time for everything under the SUN and Moon!
Aisee