Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MKUU wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi amewahamasisha watumishi wa umma kutoa fungu la kumi kama Mwenyezi Mungu alivyo agiza katika maandiko matakatifu,ili kupata baraka na hekima ya kutenda yaliyo mema yatakayoleta maendeleo kwa jamii na taifa.
 
Back
Top Bottom