Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Fungieni mitandao yote, wapumbavu sana.
Najuta kwa nini sikufungia hii mitandao nilipokuwa madarakani.
Wamenifungia kwa kosa dogo tu, hivi kwani wao hawakosei?"--
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump akipongeza serikali ya Nigeria kwa kufungia mtandao wa Twitter na kuweka masharti magumu kwa mitandao mingine kuendesha shughuli zao nchini humo.View attachment 1814621
Ha hahaha..
Adui wa adui yako ni rafikiyo!
 
Kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Chalamila Atenguluwa
FB_IMG_1623386593760.jpg
 
Back
Top Bottom