antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,566
- 119,955
😂😂😂
Ha hahaha.."Fungieni mitandao yote, wapumbavu sana.
Najuta kwa nini sikufungia hii mitandao nilipokuwa madarakani.
Wamenifungia kwa kosa dogo tu, hivi kwani wao hawakosei?"--
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump akipongeza serikali ya Nigeria kwa kufungia mtandao wa Twitter na kuweka masharti magumu kwa mitandao mingine kuendesha shughuli zao nchini humo.View attachment 1814621
Ndevu muhimu ndevu muhimu msinyoe ndevu zenu...🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisa mkuu..Chakula chochote hata kiwe kitamu namna gani bila pilipili tena pilipili kali kama kichaa au mbuzi kinapooza. 😜
Dah..
Kumbe zinatakiwa!!!
Kabisa mkuu..
Kuna mtu hutia hata kwa mkate!!!
Dooh!
Kuna moja imesahaulika hapo..
Aisee
Salam kwenu wote..
AminMungu awabariki wote
AminMungu atupe siku njema na ya amani