ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,905
- 163,070
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mkiwa ugenini ni sawa tu kuruhusu goli nyingi...btw poleni broGoli kibao, kama mko ugenini
Aiseekitaani sasa, “We kaka mie naipenda sana hiyo perfume yako natamani tu nikukumbatie kabisa ili ibaki kwenye nguo zangu” hapo yupo chepe chepe kishapiga vitatu vya haraka haraka yuko hoi bin taabani macho yamedemka kama ya Mama yetu
Umependeza mpendwa
Utopolo wa Sauzi wamepiga mtu nne kwa nunge. Ajabu kabisa
Vijana nyie, mkipewa mitaji pia wengi wenu mnademka na kuila tu halafu tunarudi kwenye skwea wani. Kwa ujumla hakuna entrepreneurship spirit and know how....
Na hapo haujala kungu mpendwa..