Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha kabisa aisee. Kuna watu dunia hii wanapitia udhalimu wa kutisha. Nimefurahi kuona baadhi ya waandishi Wazungu wameanza kuisemea hovyo Israel na mauaji yake ya kutisha. Sijui kama italeta ahueni. Kuna jengo moja ambalo Associated Press na Al Jazeera walikuwa wanalitumia kama ofisi yao wamelipiga mabomu hadi kuliangusha ili udhalimu wao usionyeshwe duniani.
Inasikitisha
 
Nimeona video dah inasikitisha kwakweli
 
FB_IMG_1621078085468.jpg
🤣
 
Back
Top Bottom