steve emile
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 215
- 567
👍👍
Aaaa.Peugeot Enzi za utawala wake.
Salam kwenu wote..
😂😂😂Sio wewe lazima ungenichokoza kwenye uzi huu kwamba umeniona live siku nitakayo kutana na member wa humu sijui itakuwajeNilikuwa mimi mpendwa.
Yaani nilikushangaa sana siku ile, nilitaka nikusalimu tu
Dawa yake fanya mpango tuonane kabla siku ya aina hiyo haijafikaSio wewe lazima ungenichokoza kwenye uzi huu kwamba umeniona live siku nitakayo kutana na member wa humu sijui itakuwaje