Tottenham imejaribu kufanya mawasiliano kwa ajili ya mchezaji wa Norwich na mlinzi wa England anayechezea kikosi cha umri wa chini ya miaka 21, Max Aarons, 21. (Football Insider
 
Boca Juniors wamemkosa mshambuliaji wa Manchester United na Uruguay Edinson Cavani, 34, na tayari wameweka nia ya kumpata mshambuliaji wa Club America wa miaka 26 Roger Martinez kama mbadala . (TyC Sports, via ESPN-in Spanish)
 
Lucas Vazquez anakaribia kuongeza mkataba wake na Real Madrid, lakini kuhamia AC Milan bado ni chaguo wakati wa majira ya joto ikiwa masharti hayatakubaliwa baada ya winga huyo wa Uhispania mwenye umri wa miaka 29 kukataa
 
Punguza kumeza meza Panadol
FB_IMG_1620157646743.jpg
 
915 Reactions
Reply
Back
Top Bottom