Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

He had a good heart
Tumblr_l_90104675449479.jpg
 
Nilifika kwa mara ya kwanza stand hiyo nikiwa kondakta mwaka 1998 baada ya elnino,nimehudumu hapo kwa miaka 4 na rafiki yangu mchezaji wa zamani Kaitaba.
Mwaka jana nimeenda nimekuta ipo kama nilivyoiacha mwaka 2002,mabadiliko nimeyakuta kwa wapiga debe ndo wamezeeka.
Sijui serikali kwanini wameizira Bukoba!
 
JamiiForums1620781464.jpg


“Nikiwa CHADEMA niliposema hatuna sababu ya kumpinga Mama(Rais Samia) ndio ameanza kazi, vijembe vikaanza Nyalandu pandikizi, wakaanza kuuliza kwao atarudi lini? mbona wenzake wamerudi?, kwenye speech yangu nikasema kurudi kwangu CCM nimeondoa swali la ni nitarudi lini?”———Nyalandu kwenye Clouds360 ya clouds tv

“Wakati uvumi unaenea kwamba Hayati Magufuli anaumwa nilisema naomba tumuombee Kiongozi wa Nchi yetu apone, baadhi ya Viongozi walijitokeza na kusema huyu aondoke sisi tufurahi”———NYALANDU

“Nilipokwenda kumzika Hayati Magufuli sikupata mashambulizi kutoka kwa Watu wa CCM ila nilipata upinzani na maneno mengi kutoka kwa Makada wa CHADEMA, unampigaje kwa maneno Mtu aliyeenda kumzika Kiongozi wake!?, huo unaosema ni usaliti uuite ujasiri”———NYALANDU

“Wana-CHADEMA ni Watu wazuri sana, wenye moyo wa kujitoa, itisha Mkutano hapa watatembea hata kwa miguu waje, ile nia ya kutaka mageuzi na maendeleo ni halisi, nataka tu kuwaambia Wana-CHADEMA siasa sio matusi, siasa sio maneno machafu, wapeleke tu hoja"———NYALANDU
 
Kuna vifo vingine mwanadamu anasimangwa kimakosa sana,yaani mtu anafia juu ya kiuno cha huyu mrembo, watu from no wea wanaanza mikelele miiingi... "oo mtu mzima tena mzee wa kisukari hajiheshimu, ameparamia pasipo paramika matokeo yake kakata moto..."

Jamanii... Nani kasema hatuwezi kuparamia "miamba ya moto!"

Siku ya kufa ni moja tu, dude kama hilo likipita mbele yangu, likafanya makosa ya kiufundi, likanichekea.... Kwani kifo nini... Si ni kuondoka duniani na kuhamia huko kwingine.
Ila Mungu fundi jamani, kizazi hiki kipya kivivuvivu kakibarikia kila kitu cha mvuto. Ila hakina shukurani, kucha kuchwa kubana mambupu yao na vinguo vya wadogo zao hadi wanapoteza hadhi ya kuitwa wanaume.
Natamani, natamaniiii...
Mwanadamu nimeumbiwa tamaa.
Tamaa nimeishinda
Ila huyo mdada kaninyong'olesha imani yangu.
 
Back
Top Bottom