Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,188
- 1,077,279
Mpendwa NuzulatiMpendwa Davie umeadimika ndugu
Mpendwa NuzulatiMpendwa Davie umeadimika ndugu
Ni Magesa Boniface DED wa SengeremaJirani, DED wa wapi huyu? Namba yake tafadhali nimjulie hali.
Uzi gani mpendwa?Shimba ya buyenze u hali gani mpendwa?
Kwenye ule uzi nimetoa ya moyoni siwezi kufa na tai shingoni
Yaani hatuwezi kufanya kitu kwa weledi. Tunawaza kuiba tu. Sijui nani alituroga sisi watu weusi
Waachilie na blogs tuendelee kujirusha...
Ni Magesa Boniface DED wa Sengerema
Alikua CEO wa Manchester UNITED FOOTBALL CLUB.
Hawajambo wanakusalimia mpendwa.Uzi gani mpendwa?
Mimi sijambo. Wewe vipi na wapendwa wako?
Rudi nyumbani utumikie taifa lako, uonyeshe mfano kwa vitendo.Yaani hatuwezi kufanya kitu kwa weledi. Tunawaza kuiba tu. Sijui nani alituroga sisi watu weusi