antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,626
- 120,116
"Moyo wa kupenda hauna mithali."
Hivi wapo serious kweli hawa?
Baada ya siku nne wanaondoa vifurushi vya ndugulile broHivi wapo serious kweli hawa?
Maana Kama VODA vifurushi vya ndugulile bado vinatamalaki!!!
Aisee.. hiyo gazeti ni ya Leo?Baada ya siku nne wanaondoa vigurushi vya ndugulile bro
Aisee"Farasi huenda kwa hatamu; punda kwa mchapo."
Sawasawa.."Karibu ni mila, si kula."