BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
nimekutext sana kule toka mwaka jana, naomba uje PMMpendwa binafsi nimepambana kurejesha I'd yangu ya zamani ya Hawachi nimeshindwa naipenda kwelikweli
Hakuna shida Mkuu mambo yatakwenda tuMzee mwenzangu siku ile tumeongea hata siku mbili hazikupita dogo akanitoka.
Usinielewe vingine kwenye ufuatiliaji wa mambo, kichwa kilijaa...
Moja ya couple naikubali sana.
SawasawaHakuna awamu ya kudumu, kila awamu itapita tu, haijalishi itadumu kwa miaka mingapi, lazima ipite ili nyingine ichukue nafasi