Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1609262889859.jpg
😂
 
Jamaa alipanga mpango wa kumkomoa Sugu kisha anataka kuonekana shujaa! Lakini haikunusuru bilicana au nyumba ya Profesa J na za Watanzania wengine kwa maelfu.


Kweli bila kuabudu watawala mambo hayaendi. Huoni Sugu alivyoponea chupu chupu kuvunjiwa hoteli yake? Tunaishi kwa kufuata huruma za watu na siyo sheria kama inavyotegemewa. Sad !!!
 
Back
Top Bottom