Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1607186076881.jpg
 
Siasa siyo lazima upate uwaziri.


Tosheka na ubunge wakoView attachment 1642459
Ujinga wake wa kutunishiana misuli na bilionea kisha kanyimwa mkopo wa bodaboda tena wakati wa kampeni bila shaka kumemwathiri pia. Ila anasemaga ni tajiri sana na huwa anawaasa vijana kujiajiri. Naamini yuko vizuri japo bado anahitaji kukua na kuachana na mambo ya kitoto.
 
Back
Top Bottom