Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo ya mtandaoni haya ni shida...
400016300697_313910.jpg
 
Ndiyo ishatoka hiyo. Nilikuwa nawaona akina marehemu Edward Chumila na wenzake wanacheza mchangani jioni katika uwanja wa Bulyaga pale hata pesa hawana wapo wapo tu yaani. Bila akili na kutumia pesa vyema hawa jamaa wengi wao mwisho huwa siyo mzuri...
Huyu jamaa alizikataa ofa kibao za kusakata soka nje zilizokuja kupitia Simba, kwa madai eti atachezea Yanga maana ana mapenzi ya dhati na timu hiyo.
Lakini ndiyo hivyo, timu anayoipenda wameshaona uwezo wake umekwisha
 
Ndiyo ishatoka hiyo. Nilikuwa nawaona akina marehemu Edward Chumila na wenzake wanacheza mchangani jioni katika uwanja wa Bulyaga pale hata pesa hawana wapo wapo tu yaani. Bila akili na kutumia pesa vyema hawa jamaa wengi wao mwisho huwa siyo mzuri...
Kweli kabisa ndugu yangu George Masatu Asante kwa kufuata Ushauri wangu Unaishi Kama paradiso
La sivyo yangekukuta ya kukukuta
 
Back
Top Bottom