Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

misterious_sinematix-20200716-0022.jpg
 
6.Ngamia(Camel)Huyu ni mnyama maarufu apatikanaye jangwani,mnyama huyu ana nundu inayo msaidia katika kukabiliana na hali ya ukame jangwaniPia chakula kinacho yeyushwa katika mwili wwke ni aina ya fati ili kuweza kuzalisha maji zaidi ndani yakeHuyu hukaa na mimba miaezi 13 hadi 15 kutegemena na aina na mazingira anayoishi.
 
Back
Top Bottom