Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Man City imekuwa na shida kubwa kwenye beki yake ikishindwa kupata mtu wa kuziba pengo la Vincent Kompany aliyeondoka mwishoni mwa msimu uliopita na kisha wakapata majeruhi wa muda mrefu kwa beki wao Aymeric Laporte, jambo linalomfanya Guardiola akiri kwamba ni tatizo kubwa kwenye timu yake.
 
Huo ndio ukweli, lakini lazima tuendelee kupambana. Ndio kwanza tupo mwanzo wa Desemba na tupo kwenye michuano mingine pia, hivyo mapambano yaendelee. Pengine mambo yanaweza kwenda kuwa mazuri kwetu huko mbele, tunahitaji kuishi kwa matumaini hayo huku tukijaribu kuisaidia timu kuwa bora uwanjani.”
 

IMG-20191209-WA0008.jpeg
 
 
Back
Top Bottom