carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,476
- 285,353
Kuna mambo yanasikitisha sana
Ooh My God...!! This is too Much
Ooh My God...!! This is too Much
πππ huu ni uongoGood night fam!π
Kabisa kabisa Carb
#maishandohayahaya
Mex amefanya la maana sana kutuwekea button ya Delete tunaunguzana bila huruma, watakao vumilia mpaka mwisho ndiyo watakao ona
#kilasikuhumutunafanyakweli
#mixerkitufechadelete
ππππππMex amefanya la maana sana kutuwekea button ya Delete tunaunguzana bila huruma, watakao vumilia mpaka mwisho ndiyo watakao ona
#kilasikuhumutunafanyakweli
#mixerkitufechadelete
Huji kwa kikao kwani?Good night fam!
πππ alafu?Mpe talaka
Dah, kuna makatili duniani hapa! Kisa simuKuna mambo yanasikitisha sana
Haha we muache tuMpe talaka
Acha uchoyo babe,mambo mazuri tushirikishaneNimekufanyaje tena babe?
Hahah! Kweli ushirikiano muhimu babe usijaliAcha uchoyo babe,mambo mazuri tushirikishane
πππππππππ jamaniUbaki mpweke na picha zako
Watu 3 wakazi wa Kijiji cha Busekera Wilayani Musoma, Mara wamefariki Dunia katika tukio linalohusisha wivu wa kimapenzi ambapo Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Omari anadaiwa kumuua mpenzi wake Paulina Paul kwa kumchoma kisu tumboni mara mbili akidai arejeshewe simu yake ambayo alimpa wakati mahusiano yao yakiwa mazuri.
_
Paulina alikataa kutoa simu na wakaamua kwenda kwa sheikh awasuluhishe, wakiwa kwa sheikh mzozo uliibuka na Omari akachomoa kisu Sheikh akatimua mbio na kuwaacha ndipo Omari akamshambulia Mpenzi wake huyo wa zamani tumboni hadi akafariki.
_
Baadae alijitokeza Mwanamke mwingne kuzuia Omari asifanye mauaji lakini Omari akamkata na panga kisha kumchinja, baada ya kuwaua wawili hao na yeye akajichoma kisu tumboni.
_
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Daniel Shillah amesema Omari alifia Zahanati na kwakuwa wote wamefariki kesi imefikia tamati hapo hapo.
Walinitenda sana hawaWamefanyaje hivi?
alafu?
ππππππNikuchukue mimi